Kwetu utapata nguo inayokutosha sawasawa!

Marembo na rangi za tausi...

Njoo uchague kitenge kimoja kati ya vitenge vyetu vyenye marembo ya kiafrika katika rangi zote za tausi.  Kisha chagua mtiondo unaoutaka nasi tutakushonea nguo yako  kufuatana na vipimo vyako.

 

1998-10-28